HABARI NYEPESI
Pasta mmoja aliyejigamba kuwa na uwezo wa kutenda miujiza ikiwemo kufufua maiti,alijipata kona mbaya pale alipoletewa maiti amfufue!hii ni baada ya mtumishi huyo kutamka hayo kwenye crusedi ambayo ilikua imeshona ajabu. katika crusade hiyo kulikua na jamaa aliyekua akiuguza babake na akaamua kwenda kumleta babakeili aponywe.kwa Bahati mbaya alipofika akakuta mzee ashaaga dunia dakika chache kabla ya kufika kwake na akaamua kumpeleka kwa ufufuo kwa vile pasta alisema anaweza hayo.kizaa zaa ni pale pasta alipokabidhiwa mwiili wa mzee huyo.kijasho chembamba kilimtoka na akaamuru watu wafunge macho.aombe lakini hata .baada ya maombi mazito bado mzee hakuamka.Kwa hofu ya kipigo, akaamua kutoroka lakini akashikwa na kurejeshwa jukwaani huku umati ukimzomea.Je unadhani alikua na uwezo huo ama ilikua kujigamba tu?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment