Pages

Powered by Blogger.

RAIS MAGUFULI ATAJA MSHAHARA WAKE KWA MWEZI

Friday, April 1, 2016


Siku chache baada ya Rais Magufuli kupiga simu kwenye kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds Tv chini ya watangazaji Baby Kabae, Hudson Kamoga na Samweli Sasali na kuwaambia kuwa ni mdau wa kipindi hicho, Basi leo April 1, 2016 Rais Magufuli amepiga simu tena na kutaja kiwango chake cha mshahara.

Wakati wa uchambuzi wa Magazeti Rais Magufuli alipiga simu na kuongea na mtangazaji wa kipindi hicho Hudson Kamoga ambapo alisema anapokea mshahara wa shilingi milioni 9 na laki tano kwa mwezi na ndio alio ukuta, ambapo ameahidi akirudi kutoka likizo ataweka wazi nyaraka za malipo ya mshahara wake.

Hatua ya Rais Magufuli kutaja kiwango chake cha mshahara imefuata baada ya Gazeti la Nipashe kuripoti kuwa “Zitto, Lissu wataka Magufuli ataje Mshahara wake, Akatwe kodi’

No comments:

Post a Comment

 

Tafuta Blog Hii

Find us on Facebook

Tangaza Nasi Hapa

Umeisha Soma Hizi